Ibada kwa Malaika ni ibada nzuri itakayokufanya ukue kiimani kwa kujenga uhusiano Chanya na Mungu pamoja na watumishi wa Mungu (Malaika na watakatifu waliopo mbinguni), karibu tusali kwa Imani na matumaini,Mungu wetu hadanganyi,tukimuomba kwa matumaini makubwa na Imani kubwa ndivyo tutakavyopokea makubwa kutoka kwake kwa njia ya watumishi wake waliopo mbinguni (walioungana naye Moja kwa moja)