Ibada kwa Malaika ni ibada nzuri itakayokufanya ukue kiimani kwa kujenga uhusiano Chanya na Mungu pamoja na watumishi wa Mungu (Ma

Bikira Maria Mama wa Huruma,mwombezi wa wakosefu na wasiohaki. Download makala ya tafakari yake Nina Imani utabarikiwa Sana. Amina.

Ni Rozari nzuri Sana yenye utajiri wa Neema 

Ee Bwana, utujalie tunakuomba, wakati tunapotafakari mafumbo ya Rozari ya Mama Maria, tuige yale tunayotafakari ili tupate yale tunayoahidiwa.

Rozari hai ilipata idhini ya kanisa tangu mwanzo kabisa.