Wanajumuiya ya Rozari Hai wakimpa mkono wa pole mjane Agatha L. Magongo parokia ya Msimbazi jimbo kuu la
Dar es Salaam Machi 2020.

Mwanarozari Hai Egbert CORNEL kwa niaba ya Jumuiya nzima ya Rozari Hai akikabidhi Rambirambi kwa mama yake Grace Lugangisa aliyekuwa mwana Rozari Hai ikiwa ni Matendo ya Huruma.